Nilizania huko mlikwenda na private jet? ahhhh bwana vacation yote hiyo. Tarehe Sun Nov 23, 12:04:00 PM, Mtoa Maoni: Anonymous. ze fulanaaaz inaonekana hehe leo imegeuka shati la tai,hehehe kama umeishiwa njoo vumbini. .... Nyie kazi kubishana wenzenu wanasonga mbele. Kuna jamaa alisema alikuwa Ethiopia miaka ya 90 na uwanja wao ulikuwa hovyo. Wao waliona vile wakajirekebisha kwa kujenga wanja la kisasa ambalo Bongo hatuna, wana maji na vyoo vinaflush, kuna air condition ...